Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
Yaani sexism ilio tawala humu JF ni kwamba members ni wanaume, wanawake ni exception. haya bwana...Hakuna hata moja linalonihusu hapo,mbona hujawauliza wadada waliofanya hayo?
Hii ni bajeti ya mwaka au mwezi?Kwa ukweli kabisa na upole kwa mwaka 2011 matumizi yangu ni kama ifuatavyo:
1.dagaa sh 60000
2.maharage sh.40000
3.nyama sh 5000
4.sembe sh 45000
5.mchele sh 3000
6.mchicha sh 55000
7.soda sh 0
8.juice sh 0
9.pombe sh.500,000
10.matunda sh.0 kwa sababu sijawahi kuugua
11. Ngono sh.700000
12. Maji sh. 0 kwasababu huku kwetu tunatumia ya mtoni
Nawasilisha.
Sisi wachungaji haya ni mageni kwetu....
Kwa ukweli kabisa na upole kwa mwaka 2011 matumizi yangu ni kama ifuatavyo:
1.dagaa sh 60000
2.maharage sh.40000
3.nyama sh 5000
4.sembe sh 45000
5.mchele sh 3000
6.mchicha sh 55000
7.soda sh 0
8.juice sh 0
9.pombe sh.500,000
10.matunda sh.0 kwa sababu sijawahi kuugua
11. Ngono sh.700000
12. Maji sh. 0 kwasababu huku kwetu tunatumia ya mtoni
Nawasilisha.
Waumini wangu mimi huwa hawaendi kwenye haya mambo tunaishi sehemu moja woteSasa mnatufundishaje waumini ikiwa haya ni mageni kwenu?
Huyu hazungumzii wanawake, anawazungumzia 'madem'... Kuna tofauti kubwa sana kati ya 'mwanamke' na 'dem'Kwa maana hiyo wanawake hawastahili kufanya kazi iwapo hayo yoote yanatekelezwaga.