Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,241
Hiii ni funga mwaka kwa kweli::
mzee wetu ametisha kikao na waandishi na kuikana kampuni iliokuwa akikusanya mapato ya ubungo tbt,..hii ni baada ya waheshimiwa sana kukataa kukusanywa na kampunihii ya kitapeli pale Machinga comlpex.,,,babu nadhani sasa unazeeka vibaya na kama ntakunukuu vizuri ulishwahi kukiri na kusema ni familia inamiliki si wewe,...hili tukalinyamazia sasa leo unakuja na funga mwaka hii kwa kweli unaniacha hoi,...sitaki nikuingize kwenye group la mirembe ni mzee wangu na nakumbuka nikiwa msingi niliwahi kuulizwa swali kwenye mtihani jibu.....KINGUNGE NGOMBALE MWIRU...ntakuwa sina heshima...embu kama mmevuna tbt waachieni wengine machinga comlpex jamani...anyway amani iwe kwenu