Funga Cctv camera kwa ulinzi imara

Funga Cctv camera kwa ulinzi imara

Viagio

Member
Joined
Sep 13, 2024
Posts
56
Reaction score
47
Ishi bila wasiwasi kwa kufunga Cctv camera nyumbani au ofisini kwako.
Tunao ujuzi na uzoefu wa kutosha na tunafunga camera zenye ubora wa hali ya juu. Utaona picha angavu zenye rangi usiku na mchana.
Tupigie kupitia simu namba 0764308320 . Karibu tukuhudumie.
 
chambua hizo camera weka picha zake na quality weka bei ya izo camera weka bei yako ya huduma.
weka unapatikana wapi.

watu wa JF unatakiwa uwashawishi kwa maandishi
Asante kwa ushauri wako ila wateja wana mahitaji tofauti wengine hawapendi maelezo marefu ila nimepokea ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Mkuu maelezo marefu ndio baishara yenyewe hata kama unauza juice tutahitaji kujua uko wapi kwa dozen unauzaje je unasafirisha mikoani?

Sasa kabla ya kuhojiwa maswali yote hayo lazima utiririke kila kitu ili kama maswali yanakuwa machache ila manunuzi yanakuwa mengi

Napenda kuweka cctv nyumbani kwangu lakini kwa tangazo hili maswali yatakuwa mengi sana badala ya kununua

Usijali mteja mmoja anaesema maelezo mengi huyo hana hata pagala
 
Sawa nimekuelewa ngoja nijazie nyama Black Sniper
 
Ishi bila wasiwasi kwa kufunga Cctv camera nyumbani au ofisini kwako.
Tunao ujuzi na uzoefu wa kutosha na tunafunga camera zenye ubora wa hali ya juu. Utaona picha angavu zenye rangi usiku na mchana.
Tupigie kupitia simu namba 0764308320 . Karibu tukuhudumie.
Uongo mtupu, CCTV Bila human intervation on time ni kazi bure mara mia nimeweka hata king'ora
 
Back
Top Bottom