Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,848
Kama wewe unajiita umesoma na umekosa planning ya kuendesha maisha yako vinzuri. hiyo ni dalili mojawapo ya kuelewa kwamba hauna elimu..
Ulienda shuleni kusoma ili iweje
1:Kujifurahisha moyoni mwako kwamba una elimu na kupewa sifa nyingi kwamba na wewe umesoma,?
2:Ili kupata akili yakuwenza kuyaendesha maisha yako vinzuri?.
Kama alieshia dalasa la saba ana maisha manzuri na anapesa kuliko wewe. huyo tunasema ana elimu kuliko wewe uyelirundika makaratasi ndani huku hauna chochote
cha kufanya.
kwa hiyo, nyie munaojiita mumesoma
usitengemee elimu yako ikufanyie kitu,
jiulize kwanza wewe elimu yako umeifanyia nini?
NB.
Ulipata elimu ili upate planning za kuendeshea maisha yako vinzuri.
ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA, KWA NINI USHINDWE KUYAFUNGUA.
ukishidwa kuyafungua ni dalili za kwamba hauna elimu.