Ww mawazo yko na hoja vyote kwa pamoja mgando...tafuta cha kuyeyushia hlo danguro naona lilikulaani ndo mana huwez fikiria nje ya box..
Bdo kinda sn unahitaj akili za kushikiliwa kw manati
Muathirika wa maada.
nakusihi ndgu yangu acha kuchambua matembele na mama yako kucha kutwa. huku unajiita eti na wewe umesoma
fumbua macho, acha kuleweka na sifa za kwamba umesoma.
wewe kwangu ni pimbi tu, vyoooooo!!!!
ikiwa ubajifanya masikini lakini hela unazo jeyeah wewe ndiye unajua mambo sasa.
Unasoma magezeti ili iweje?
Huu uzi mbona umekaa kimipasho sana, mtoa mada anaonekana kama amegombana na mtu msomi asubuhi hii.
Kama hujasoma hujasoma tuu...usitafute kichaka cha kujificha....!!!
Kipara upo sahihi sana na wanaokuponda hawajaelimika...mtu ana MBA na bado mwaka watatu na ushee hajajiajiri na anatafuta ajira magazetini na akiitwa kwenye usiali anapiga chini sasa hapo elimu ni ukombozi kweli?