Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,603
- 22,716
Ni lini CCM wamewaua upinzani?Ni lini wapinzani wamewaua maccm?

KWA HIYO WALIO CHINI YETU NAO NI MABONGO LALA MFANO KWA MADIBA?IQ ya mtu mweusi,maarifa,n.k inaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya bara la Afrika.
Kwa mfano,utagundua nchi za Afrika Maghararibi ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi ambazo ni za bara la Ulaya na Asia zina maendeleo zaidi hivyo Kenya iloyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi
In short you will discover that,regions define human intelligence,level of development,colour,etc.
In other words I would say that,human intelligence,level of development ,colour,etc,is a function of region where that human being is found.
However,as it is always the case even in proven scientific laws,some exceptions are always there.
Huko kumbuka kuna wazungu na ndio source ya maendeleo katika hiyo nchi.KWA HIYO WALIO CHINI YETU NAO NI MABONGO LALA MFANO KWA MADIBA?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kiongozi anayetumikia watu wote na kiongozi anayetumikia tumbo lake na genge lake la wezi![]()
![]()
![]()
Katika kuazimisha Siku ya Uhuru wa Kenya, Rais Kenyatta amewaalika viongozi wa upinzani kwa mazungumzo Ikulu. Hii inaonyesha katika mambo ya kitaifa wao ni wamoja na siasa haziwatenganishi undugu wao.
Hapa kwetu hata kwenda kwenye harusi ya mpinzani taarifa zako zinachunguzwa maana unahisiwa kuwa ni msaliti. Tujifunze kutoka Kenya ambako tumekuwa tunawatolea mifano mibaya kumbe wao ndio wako vizuri kuliko sisi.
Leo mtu kuwa Chadema kesho ccm au ccm kesho Chadema au CUF lionekane ni jambo la kawaida muhimu utetezi kwa nchi tuu. Maana ndani ya nchi wapo ndugu na jamaa zako watakuwa katika vyama tofauti na chako.
Ni kweli kabisa asemavyo. Ona wakati ule wanawapiga wahamiaji! Eti mtu kaishia darasa la pili anamshambulia Daktari toka Msumbiji eti kaja kuwafanya wao wakose ajira? Nadhani hilo huwezi liona nchi ya kaskazini kama TZKWA HIYO WALIO CHINI YETU NAO NI MABONGO LALA MFANO KWA MADIBA?
Au kama Zimbabwe wakadai wazungu wanawazulumu mashamba wakataka wapewe wao, serikali ikawapa wakashindwa kulima sasa wananjaa haijawahi tokea.Ni kweli kabisa asemavyo. Ona wakati ule wanawapiga wahamiaji! Eti mtu kaishia darasa la pili anamshambulia Daktari toka Msumbiji eti kaja kuwafanya wao wakose ajira? Nadhani hilo huwezi liona nchi ya kaskazini kama TZ
wewe bure kabisa.![]()
![]()
![]()
Katika kuazimisha Siku ya Uhuru wa Kenya, Rais Kenyatta amewaalika viongozi wa upinzani kwa mazungumzo Ikulu. Hii inaonyesha katika mambo ya kitaifa wao ni wamoja na siasa haziwatenganishi undugu wao.
Hapa kwetu hata kwenda kwenye harusi ya mpinzani taarifa zako zinachunguzwa maana unahisiwa kuwa ni msaliti. Tujifunze kutoka Kenya ambako tumekuwa tunawatolea mifano mibaya kumbe wao ndio wako vizuri kuliko sisi.
Leo mtu kuwa Chadema kesho ccm au ccm kesho Chadema au CUF lionekane ni jambo la kawaida muhimu utetezi kwa nchi tuu. Maana ndani ya nchi wapo ndugu na jamaa zako watakuwa katika vyama tofauti na chako.
Itatuchukua sii chini ya miaka mia kuifikia Kenya kwa kila kutuosha.wewe bure kabisa.
Wapinzani wanaalikwa kila siku sherehe za uhuru na muungano hawaendi na mnajipongeza kuwakomoa ccm
IQ ya mtu mweusi,maarifa,n.k inaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya bara la Afrika.
Kwa mfano,utagundua nchi za Afrika Magharibi ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi ambazo ni za bara la Ulaya na Asia zina maendeleo zaidi hivyo Kenya iliyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi
In short you will discover that,regions define human intelligence,level of development,colour,etc.
In other words I would say that,human intelligence,level of development ,colour,etc,is a function of region where that human being is found.
However,as it is always the case even in proven scientific laws,some exceptions are always there.
Ni lini wapinzani wamewaua maccm?
Hawa wakenya siyo wa elimu ya kusoma na kuandika na Phd zenye mashaka.![]()
![]()
![]()
Katika kuazimisha Siku ya Uhuru wa Kenya, Rais Kenyatta amewaalika viongozi wa upinzani kwa mazungumzo Ikulu. Hii inaonyesha katika mambo ya kitaifa wao ni wamoja na siasa haziwatenganishi undugu wao.
Hapa kwetu hata kwenda kwenye harusi ya mpinzani taarifa zako zinachunguzwa maana unahisiwa kuwa ni msaliti. Tujifunze kutoka Kenya ambako tumekuwa tunawatolea mifano mibaya kumbe wao ndio wako vizuri kuliko sisi.
Leo mtu kuwa Chadema kesho ccm au ccm kesho Chadema au CUF lionekane ni jambo la kawaida muhimu utetezi kwa nchi tuu. Maana ndani ya nchi wapo ndugu na jamaa zako watakuwa katika vyama tofauti na chako.
Umekuwa mfanyakazi wa ikulu siku hizi?Kwa taarifa yako, kila hafla upinzani wa Tanzania hualikwa ikulu ila pepo la kususa/kuzira ndilo linawasumbua. Toka waliposusia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi,hafla za wabunge nk. Kama Wapinzani wanatangaza hadharani kuwa hataki kuona wabunge wa upinzani wakishirikiana na CCM, wasionane nk, nani wa kulaumiwa hapo?

Kwani huyo ni wema chakula cha mbowe?Eti wewe nae ni viti maalum dooo chakula cha mkubwa.
Swissme
Na zile zilizopakana na Kenya upande wa kaskazini, zimeendelea kuliko Kenya??IQ ya mtu mweusi,maarifa,n.k inaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya bara la Afrika.
Kwa mfano,utagundua nchi za Afrika Magharibi ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi ambazo ni za bara la Ulaya na Asia zina maendeleo zaidi hivyo Kenya iliyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi
In short you will discover that,regions define human intelligence,level of development,colour,etc.
In other words I would say that,human intelligence,level of development ,colour,etc,is a function of region where that human being is found.
However,as it is always the case even in proven scientific laws,some exceptions are always there.
Eti wewe nae ni viti maalum dooo chakula cha mkubwa.
Swissme
Acha blah blah zako zinakera. "Wapinzani" wanaoalikwa Ikulu wanajulikana kuwa ni Mrema na Lipumba. Kama wabunge wa CCM wanazuiwa kwenda kumwona mbunge mwenzao mahabusu kisa ni mpinzani halafu bado unakuja hapa kupiga blah blah zako!Kwa taarifa yako, kila hafla upinzani wa Tanzania hualikwa ikulu ila pepo la kususa/kuzira ndilo linawasumbua. Toka waliposusia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi,hafla za wabunge nk. Kama Wapinzani wanatangaza hadharani kuwa hataki kuona wabunge wa upinzani wakishirikiana na CCM, wasionane nk, nani wa kulaumiwa hapo?