Fundisho kwa Serikali ya CCM. Upinzani sio Uadui

Mshangai

JF-Expert Member
Feb 16, 2008
468
1,086
4bed042faa3922f827fe952610b89922.jpg

94fc1b5ce534fd068ec46dacbf53a80b.jpg

104f7d8cc674f5ae2fbd44a7fd220794.jpg

Katika kuazimisha Siku ya Uhuru wa Kenya, Rais Kenyatta amewaalika viongozi wa upinzani kwa mazungumzo Ikulu. Hii inaonyesha katika mambo ya kitaifa wao ni wamoja na siasa haziwatenganishi undugu wao.

Hapa kwetu hata kwenda kwenye harusi ya mpinzani taarifa zako zinachunguzwa maana unahisiwa kuwa ni msaliti. Tujifunze kutoka Kenya ambako tumekuwa tunawatolea mifano mibaya kumbe wao ndio wako vizuri kuliko sisi.

Leo mtu kuwa Chadema kesho ccm au ccm kesho Chadema au CUF lionekane ni jambo la kawaida muhimu utetezi kwa nchi tuu. Maana ndani ya nchi wapo ndugu na jamaa zako watakuwa katika vyama tofauti na chako.
 
Kwa taarifa yako, kila hafla upinzani wa Tanzania hualikwa ikulu ila pepo la kususa/kuzira ndilo linawasumbua. Toka waliposusia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi,hafla za wabunge nk. Kama Wapinzani wanatangaza hadharani kuwa hataki kuona wabunge wa upinzani wakishirikiana na CCM, wasionane nk, nani wa kulaumiwa hapo?
 
Eti wewe nae ni viti maalum dooo chakula cha mkubwa.

Swissme
 
Safari hii hatumuungi mkono Odinga kwa kuwa alimuunga mkono adui yetu
 
IQ ya mtu mweusi,maarifa,n.k inaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya bara la Afrika.

Kwa mfano,utagundua nchi za Afrika Magharibi ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi ambazo ni za bara la Ulaya na Asia zina maendeleo zaidi hivyo Kenya iliyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi

In short you will discover that,regions define human intelligence,level of development,colour,etc.

In other words I would say that,human intelligence,level of development ,colour,etc,is a function of region where that human being is found.

However,as it is always the case even in proven scientific laws,some exceptions are always there.
 
Kwa taarifa yako, kila hafla upinzani wa Tanzania hualikwa ikulu ila pepo la kususa/kuzira ndilo linawasumbua. Toka waliposusia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi,hafla za wabunge nk. Kama Wapinzani wanatangaza hadharani kuwa hataki kuona wabunge wa upinzani wakishirikiana na CCM, wasionane nk, nani wa kulaumiwa hapo?
wakudadavua njaa zitakuuwa,kuwa na misimamo
 
Kwa taarifa yako, kila hafla upinzani wa Tanzania hualikwa ikulu ila pepo la kususa/kuzira ndilo linawasumbua. Toka waliposusia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi,hafla za wabunge nk. Kama Wapinzani wanatangaza hadharani kuwa hataki kuona wabunge wa upinzani wakishirikiana na CCM, wasionane nk, nani wa kulaumiwa hapo?
Huelewi maana halisi na hii inatokana na utoto tuu ulionao licha ya kupewa madaraka ya uwakilishi. Kwenye nchi aliye madarakani ndiye mwenye kufanya jitihada za wazi za kuunganisha watu na sio kutumia mapungufu na hasira kukomesha.
Mwaliko huo wa Kenyatta unadhani unawajenga kina Odinga? No way, hapo anayeonekana amekaa kitaifa kwelikweli ni aliyealika kwa mamlaka yake.
Tumeshuhudia hata kwenye uzinduzi wa miradi ya maendeleo Mameya husika wanakuwa mistreated mpaka wameamua hawaendi. Ni Tabia za watu wabinafsi wasio jali umoja tuu ndio hao wafanyao hivyo
 
Jamaa wapo mbali sana kifikira na kiakili.
 
IQ ya mtu mweusi,maarifa,n.k inaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya bara la Afrika.

Kwa mfano,utagundua nchi za Afrika Maghararibi ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi ambazo ni za bara la Ulaya na Asia zina maendeleo zaidi hivyo Kenya iloyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi

In short you will discover that,regions define human intelligence,level of development,colour,etc.

In other words I would say that,human intelligence,level of development ,colour,etc,is a function of region where that human being is found.
Watakuelewa wachache sana
 
Kwa taarifa yako, kila hafla upinzani wa Tanzania hualikwa ikulu ila pepo la kususa/kuzira ndilo linawasumbua. Toka waliposusia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi,hafla za wabunge nk. Kama Wapinzani wanatangaza hadharani kuwa hataki kuona wabunge wa upinzani wakishirikiana na CCM, wasionane nk, nani wa kulaumiwa hapo?

Mh Agnes Marwa heshima yako Pokea
 
Kwa taarifa yako, kila hafla upinzani wa Tanzania hualikwa ikulu ila pepo la kususa/kuzira ndilo linawasumbua. Toka waliposusia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi,hafla za wabunge nk. Kama Wapinzani wanatangaza hadharani kuwa hataki kuona wabunge wa upinzani wakishirikiana na CCM, wasionane nk, nani wa kulaumiwa hapo?
Na kweli huwa wanaalikwa kisha wanazuiwa mlangoni wasiingie kama kule Moshi yalipomkuta Meya na Mbunge wa upinzani.
 
Back
Top Bottom