Fundisho kutoka Iran

Kuna wale waliondamana kwenda Ubalozi wa Vatican, nao wapigwe risasi ?
 
Unawashauri hawa , mda wa kuwashauri umekwisha, kama jeshi la police ni haki ya kulinda raia na mali zao ,vipi wale walikua wanatwanga risasi wananchi ,bila hata uniform, walikua wapi , acheni hii habari nipo na maumivu makubwa aisee
leo wametwangwa 7000 mbona mpka kesho watapata akili
 
Kuna wale waliondamana kwenda Ubalozi wa Vatican, nao wapigwe risasi ?
hawajachoma au kuvunja kitu , mimi shida yangu wale wanaojitoa ufahamu wanafanya uharibu huyo astahili kuishi kwa namna yeyote ile
 
Njia ya KUZUIA maandamano ni Moja tu ya kutoa haki.
 
Ndoto
 


Hayo mambo muwe mnaongelea jikoni au uani. Sisi wanaume tunakosa la kuchangia kabisa. Mnaongea kwa mafumbo na mambo yenu wenyewe ya mipasho. Mnatuchanganya sana. Baadaye mseme hatuwasupport
 
Duu! Imagine mtu anaanzisha mada kama hii, anatoa ushauri wanaoandamana kwa amani wapigwe risasi!
Nachoka kabisa mimi mwana JF mwenzenu!😢
Hivi Gen-Z hamna utaalam wa kujua huyu anaripoti kutokea wapi ilimkamsalimie? Kama JF mmezuia watu kujulikana wako wapi, hebu fungilieni mbwa japo kwa nusu saa tu huyu mpumbavu akanaswe!
 
Maandamano yameisha ndugu,sasa hivi kuna maandamano ya kuunga mkono serikali
 
Unawamba shaba waliotoa pesa za kununua hizo bunduki na wanaolipa mishahara yao?

Hamna watu watata kama wa Iran ila hawawezi ua watu kama mende kama ilivotokea hapa!
Bara giza lina safari ndefu kwa kweli
 
Mbinu mpya Wajumbe, wenyeviti wa mitaa,Machawa familia,mali na nyumba zao pigeni moto 🔥 choma piga moto tembea na kuchoma kila kitu 🔥🔥🔥🚶
 
Huyu hana watoto, siku akikua atajua umuhim wa wanae! Endapo watachapwa shaba za vichwa
 

Ujielewi, ni ngumu sana kuzuia, labda kwa kuua, na sio watu wote wana ujasiri wa kuua Kwa kiwango kikubwa
 
Huyu hana watoto, siku akikua atajua umuhim wa wanae! Endapo watachapwa shaba za vichwa
nina watoto watano wavulana 2 wasichana 3 ila sipendi ujinga nasononeka sana ninachokiona
 
Unawamba shaba waliotoa pesa za kununua hizo bunduki na wanaolipa mishahara yao?

Hamna watu watata kama wa Iran ila hawawezi ua watu kama mende kama ilivotokea hapa!
Bara giza lina safari ndefu kwa kweli
leo wamepelekewa moto haswa haswa baada ya tu ya marekani kujifanya eti inaingilia kati
 
Wewe msenge ni muuaji kummalko
kabla hujanitukana jiulize hivi siku ya kwanza tu wangewapasua vichwa watu 10 leo maandaano yangekuwa nchi nzima? ipi hasara sasahivi hata ku control ni kazi miji 110 inaandamana , hapa dar wangepigwa risasi kama nilivyoshauri siku ya kwanza pale kimara tu na magomeni yasingesambaaa mpaka tunduma , mbeya mwanza , mbagala
 
Maandamano yameisha ndugu,sasa hivi kuna maandamano ya kuunga mkono serikali
safi sana maana nawachukia wanaoshadadia serikali za waonevu kama yule jamaa anayejisifu sasahivi marekani inamiliki mafuta asilimia 55 ya dunia baada ya kuchukua ya venezuela ,keshawasahau raia wa venezuela na bado majinga wanawashabikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…