CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Umeadimika sana lakini....
Nipo kaka yangu, kuna mambo flani yananikeep busy aisee acha kabisa
Umeadimika sana lakini....
Lakini mwisho wa siku mfuko unanona au siyo? Nakuaminia...Nipo kaka yangu, kuna mambo flani yananikeep busy aisee acha kabisa
Si vibaya tukiwa na mawazo tofauti tofauti.Swali A au B chagua moja sasa haya maelezo yote si tunachafua booklet letu bure tuu.