Fundi yupi kasema ukweli

Na siyo mbaya ni nzuri na mradi wahusika wamishiba tuu
 
hapa ni rock city au the fish town.???
Ningalikuwa na uwezo ningepiga marufuku majina yooote
ambayo asili yake si ya kibongo.
Mv victoria ingeitwa mv koku
ziwa victoria ingekuwa ziwa sato/sangara
kuna baadhi ya wazee walikomaa mt.meru na kilimanjaro
havikubatizwa majina ya ki zion
kama mt.albert etc.
Eti lake natron kuita magadi waliona nini
natron wakaite huko kwa mama zao far, kn
 
Mwanza wako vizuri, kuna yule jamaa yuko pale kando ya njia ya kutoka Nyegezi-Buzuruga pamoja na sanamu za wanyama mbalimbali ametengeneza Mamba wawili wakubwa kiasi cha kufanya watu waende pale kupiga picha. Kama serikali yetu ingekuwa na mpango wa kuendeleza wasanii wetu huyu jamaa anastahili tuzo kwa kweli....
 

njia panda ya butimba
 

Mi kwa hilo nakuunga mkono mia kwa mia, lakini usilete habari za Mugabe, eti anataka kubadilisha jina Victoria falls kwa vile ni jina la kizungu wakati ye mwenyewe jina lake Robert, si angeanza kubadilisha jina lake kwanza. Haya na wewe jina lako la nani?
 

Jinale nzalendo au hujui kusoma?
 
Last edited by a moderator:
me nafanya art pia
sijabahatika kupata hata kaofis au sehem tambuliki ya kufanya vitu vyangu
nishasaga mguu sehem mbalimbali nikitafuta msaada but tz yetu tiligivyogo.
taratibuu tunapata vitenda kidogo kidogo kutoka sehem mbal mbali
big up kwa wanang wa umu ndan mnaonipa sapot majumban kwenu
 

Attachments

  • 1416373230785.jpg
    95.3 KB · Views: 164
  • 1416373625745.jpg
    95.3 KB · Views: 166
Swali A au B chagua moja sasa haya maelezo yote si tunachafua booklet letu bure tuu.
 
Kaka uko vizuri mno, kama samaki kweli. Unapatikana mkoa gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…