bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,374
- 3,972
Habari wadau humu!
Hii kazi unaipa marks ngapi?
Hii kazi unaipa marks ngapi?
Huo ndio mfumo wa kisasa, AI inazidi kuimarika .Huko hamuweki Hizo nyaya kwenye mabomba?
Kwanini?hakuna conduit?Hapo kama ni 10/10 jamaa nampa 3
Hiyo ni hatari ndg, ungetumia tu single wire uweke ndani ya bomba. Panya akianza kula hizo nyaya, itakuwa ni shida nyingine (inaweza ikaunguza hata nyumba yenyewe)