Fundi welding (welder) natafuta ajira popote

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Kwa majina naitwa Steven nipo songea natafuta kazi kwenye kipengele Cha welding

Ninauzoefu wa miaka zaidi ya mitatu kwenye welding and metal fabrication

Ninauzoefu wakuunga vyuma vyepesi na vizito pia Nina cheti kutoka chuo Cha ufundi stadi veta

Kwa atakaeguswa kunisaidia namba yangu hii 0763329715
 
Mdogo wangu mkopo wangu wa bank ungekuwa umeisha ningekutafuta tufanye kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom