steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Naitwa Steven nipo Songea. Umri wangu ni miaka 25. Natafuta kazi kwenye upande wa welding. Nina uzoefu wa kutengeneza bidhaa zote za welding pia nipo tayari kufundishika zaidi.
Pia nina uzoefu wa kutengeneza crashers za kuvunjia mawe ya dhahabu.
Npo tayari kufanya kazi popote.
Mwenye uhitaji na mimi namba yangu ni:
0713861568
View attachment 1356659
View attachment 1356658
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia nina uzoefu wa kutengeneza crashers za kuvunjia mawe ya dhahabu.
Npo tayari kufanya kazi popote.
Mwenye uhitaji na mimi namba yangu ni:
0713861568
View attachment 1356659
Sent using Jamii Forums mobile app