Fundi waya (magari)

Fundi waya (magari)

Hance chars

Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
5
Reaction score
0
Wadau habar zenu. Mimi ni kijana wa miaka 24 naitwa Charles niko Arusha nimemaliza masomo ya veta mwaka wa 3 (2017) kwasasa nipo mtaani tu,
Natafuta fundi umeme wa magari niwe nafanya nae kaz kama nyokaa wake ili niendelee kupata uzoefu maana ndo nimetoka shule mwez wa 12 tu mwaka jana.
Kama yupo fundi ambaye atanipokea ntashukuru sana.
 
Back
Top Bottom