Fundi wa tablet kwa arusha anahitajika

jov

Senior Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
121
Reaction score
9
Nina tablet yangu aina ya forsea.
Ilikuwa na tatizo la button za kuwashia kuzama ndani.
Niliipeleka kwa fundi mmoja kwa mara ya kwanza akaziweka sawa
lakini baada ya mda tena kuna mtu aliiforce kuiwasha ikiwa imeishiwa charge zikazama tena ndani .
Nikaipeleka tena kwa fundi lakini haikuweza kuwaka tena
..ukiiweka kwenye chaji hata ile indicator ya kuonesha inachaji haionekani lakini kama ukiiweka kwenye charge kwa mda mrefu then ukaicha unasikia ule mlio wa kuonesha battry ipo low..
Nahitaji fundi mwenye utaalamu anisaidie kufix tatizo
.............nipo arusha . Nahitaji msaada wa mawazo ama fundi kama unamfahamu au hata kama ni wewe tuwasiliane
natanguliza shukrani

0757789342
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…