Fundi wa rangi ya kupuriza fenicha anahitajika

Fundi wa rangi ya kupuriza fenicha anahitajika

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
Wadau naulizia mtu anae wafahamu mafundi wa rangi za kupuliza kwenye fenicha za mbao hasa walioko maeneo ya kuanzia Kimara mpaka Mbezi mwisho/Makabe!nina vi fenicha vyangu vilikua vinahitaji kupigwa rangi hiyo ya kupulizia,asanteni wadau
 
Back
Top Bottom