fundi wa modem Huawei E1550

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
wakuu naombeni msaada km kuna fundi au msaada wa kitaalam kuhusu modem yangu aina ya Huawei E 1550 nikiiconect kwenye PC haionekani kwenye my computer japo inawasha taa ya kuwa na power nimeunistall softwere yake nione km intainstall upya imekataa,pia nimejaribu kutumia computer nyingine tatizo ni lile lile
Tatadhari kwa anayeweza kunisaidia kuirekebisha ifanye kazi naomba msaaada plz
 
any idea tatizo lilianzaje??!! maana labda uliidondosha au kuingia maji...ukieleza tatizo lilivyoanza am sure itakuwa rahisi zaidi kusaidiwa...
 
any idea tatizo lilianzaje??!! maana labda uliidondosha au kuingia maji...ukieleza tatizo lilivyoanza am sure itakuwa rahisi zaidi kusaidiwa...
nahisi mtoto wangu mdogo aliiwekea mate maana nilimkuta ameiweka mdomoni nikaipangusa nikaiacha baada ya cku mbili nikaiweka ikawa hivi
 
tafuta kwenye google "tekinolojia yetu"" hapo waulize na tatizo lako litakwisha papo hapo.
 
Kama unaweza basi ifungue ndani kisha uisafishe mwenyewe kwa kutumia mswaki na benzine,ila kabla hujafanya hivyo itazame kwa umakini kila sehemu hasa pale penye tundu la usb ili kuona kama kuna kutu yoyote,hata baada ya kuifungua tazama kutu kama ipo ili kuwa na uhakika wa unachokwenda kufanya.
 
umeona sasa baada ya kueleza kuwa dogo aliiramba na majibu yanakuja...! mi nlishawahi soma mahali flani hivi ila wao walikuwa wanazungumzia njia rahisi za kuiokoa simu yako iliyotumbukia majini...wakasema unaweza ukaifungua yote then itie kwenye mchele ifunikwe kabisa..ule mchele unasaidia kukausha unyevu wote kwenye electronic devices kama hizo (its funny eeh!!?) ..actually sijawahi jaribu but kama vipi unaweza jaribu kwa modem yako, maybe inaweza kukusave..!!
 
umeona sasa baada ya
kueleza kuwa dogo aliiramba na majibu yanakuja...! mi nlishawahi soma
mahali flani hivi ila wao walikuwa wanazungumzia njia rahisi za kuiokoa
simu yako iliyotumbukia majini...wakasema unaweza ukaifungua yote then
itie kwenye mchele ifunikwe kabisa..ule mchele unasaidia kukausha unyevu
wote kwenye electronic devices kama hizo (its funny eeh!!?) ..actually
sijawahi jaribu but kama vipi unaweza jaribu kwa modem yako, maybe
inaweza kukusave..!!

nashukuru mkuu ngoja nijaribu kuifanyia usafi na benzine then niitest nione, nahisi labda kutu kwa kuwa ni muda umepita.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom