Msaada wakuu, hii modem ndo imekufa au?

Msaada wakuu, hii modem ndo imekufa au?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Wakuu nina modem yangu Huawei E1550 kwa bahati mbaya katoto kangu kadogo &nbsp;kaliitia mdomoni baada ya kukanyanganya niliifuta na nikaisubiri km masaaa 5 nilipoiweka kwenye computer ikagoma kuonekana tena kwenye PC ingawa inawaka kuonyesha inapokea power, hata ukifungua ka softwere kake kanasema the device is disconnected or not available,<br>Sasa wakuu msaada wenu plz kama naweza kuifanyia makeke ikawa poa plz...Thanx
 
duh...dogo alitaka kujiconnect kwenye internet yeye mwenyewe nini....lol!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom