Fundi wa majiko ya gas

Ulopo

Senior Member
Mar 13, 2015
111
83
Natengeneza MAJIKO yanayotumia gas kwa tatizo lolote na jiko la aina yeyote.

Hata kama ulikata tamaa kwa kujua halitengenezeki nina uwezo wa kubadilisha kifaa kilichoharibika na kuweka kipya, hata kama haliwaki nalifufua na utalitumia bila wasiwasi.

Niko Gongo la mboto kituo kipya kigorofani stendi ya kwenda mjini kwa mawasiliano zaidi Piga +255715673024
 
Nisaidie. Ni nini kifanyike Kama jiko linasababisha masizi wakati wa kupka? Yaan oxygen inakuwa kidogo
 
Nisaidie. Ni nini kifanyike Kama jiko linasababisha masizi wakati wa kupka? Yaan oxygen inakuwa kidogo
Kama jiko ni jipya untakiwa useti kwa kutumia kuzungusha maskio ya kwenye kiberiti na maanisha chini ya noble ya kuwashia jiko kwa chini utaona vichuma flan vimekaa kama maskio utakuwa unazungusha huku unatazama moto unavyobadilika hadi utapata saiz unayotaka kama jiko ushalitumia kwa mda takribani miezi miwili nk. Unaosababisha moshi ni uchafu so linahitaji kusafishwa
 
Back
Top Bottom