Fundi wa kuezeka bati

bothlegs

Senior Member
Apr 14, 2009
108
225
Fundi mmoja akiwa kazini na kibarua wake, alikuwa juu ya paa anaezeka bati akiwa amevaa OVERALL .Ghafla akateleza na kuanguka kwa bahati nzuri kabla hafika chini lile OVERALL alilovaa kikanasa kwenye msumari.Kwa hiyo fundi akawa ananing'inia kwenye kingo za paa.Kibarua akamwambia fundi wake pole.Kwa mshangao fundi akamjibu yule kibarua wake usinipe pole. Mimi mbali ya kukufundisha jinsi ya kuezeka bati pia nataka uje mianguko ya kifundi wakati wa kuezeka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom