Fundi wa kubandika wallpaper za ukutani

daaah Mungu akinisaidia nikija kuwa na hela nyingi ntamuwekea mama angu mzazi kwnye nyumba yake.
Hela nyingi zipi ndugu! wakati fundi hapo katoa bei; 1 roll=35,000/=, na gundi 10,000/=. Jumla 45,000/=.

Halaf nilishawahi kuitazama makala ya uwekaji wa wallpaper katika chaneli ya Aljazeera. Imepita miaka kadhaa, kumbe teknolojia imeishaingia bongo!

Nilihisi ni gharama sana kumbe ni rahisi tu.

Asante fundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom