Fundi wa Jiko la Kisasa anahitajika (Arusha)

Fundi wa Jiko la Kisasa anahitajika (Arusha)

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,970
Reaction score
3,585
Naomba mtu yoyote anayemfaham fundi wa kufanya finishing ya jikon hasa katika kutengeneza makabati na tiles anipatie contacts zake au ani PM,
Kuna ukarabati wa kuweka makabati ya jikon na chumban unataka kufanyika ASAP
 
Yaan ndo kusema! Hakuna mtu aliyewahi hata kutengenezewa jiko Arusha anielekeze, waungwana hata directions tu zitasaidia
 
Back
Top Bottom