Wakuu, nina Ipod yangu ambayo hai-display, kwenye screen inawaka rangi nyeupe tu. Ila mziki inapiga. Niliogopa kupeleka kwa mafund hawa uchwara wacje wakaiua kabisa. Msaada wenu, mnaweza nielekeza mahal palipo mafund wazur na gharama yake? Nawasilisha.