Wadau,
Natanguliza shukrani.
Naomba recommendation ya fundi wa Ceiling Joist a.k.a Blandering (Not sure ndio linavyoandikwa)
Kama ulipenda kazi yake, ntashukuru kwa recommendation.
Ahsante.
Ram
Uko wapi mkuu? Kuna Fundi nilimtoa Arusha kuja kunifanyia hiyo kazi Dar, alipomaliza tu akadakwa na jamaa wa Ubungo na baadaye Kigamboni. Kazi yake no nzuri, amemaliza juzi na leo amerudi Arusha.
Kama uko Dar jamaa atakufaa sana, kwanza ni mwaminifu, pili anaweka kambi site na anakuwa busy na kazi throughout mpaka amalize. Anapiga blandaring na kuweka ceiling/gypsum board.