Fundi uliyeshona hili shati Mungu anakuona kumbuka huyu ni mwanaume

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
8086bfb5564f304adf7e3b4478fb82db.jpg
 
Hiyo siyo blause ni shati la kiume la kitenge. Angalia vifungo vimekaa upande gani, kama ni kushoto basi ni blause na kama ni kulia hilo ni shati la kiume. Usikariri...
Pengine pia ni blauzi mkuu ila fundi ameamua aweke batani dhati saidi.Inasikitisha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom