Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Nipo hapa kigamboni eneo la kampuni za mafuta tumesikia mlio mkubwa kama wa bomu karibu na kampuni ya mafuta ya MOIL.
Waliotokea upande huo wanasema kuna fundi wa Tanesco amelipukiwa na umeme na amekuwa mwekundu mwili mzima(sidhani kama bado yupo hai) na pia wanasema kuna pikipiki imeungua vibaya.
Tupeni taarifa kamili mliopo upande huo au jirani
we ndo uko jirani halafu unaomba taarifa tena... ebo!!!!?
I think he was working while the "Mgao" in action. Unexpectedly, it returned... Guess what.
may be anauliza kwa wengine walio karibu maeneo hayo
pole fundi,hakuwa kishoka huyo