tete'a'tete JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 472 Reaction score 66 Feb 29, 2012 #1 Dears, Jana nimedondosha BB yangu sasa imepata hitilafu kwenye kioo siwezi view chochote sasa mwenye kujua fundi wa simu aina ya Blackberry anisaidie nipo Dar. kuongezea asiwe fundi tapeli mpenda sana hela awe kikazi zaidi... thanks!
Dears, Jana nimedondosha BB yangu sasa imepata hitilafu kwenye kioo siwezi view chochote sasa mwenye kujua fundi wa simu aina ya Blackberry anisaidie nipo Dar. kuongezea asiwe fundi tapeli mpenda sana hela awe kikazi zaidi... thanks!
genius JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 430 Reaction score 338 Mar 1, 2012 #2 Nenda kariakoo mtaa wa aggrey. Then mtafute fundi anaitwa mood. Ukifika office yake utakuta bb, android , sumsung kibao. Ni fund mzuri.
Nenda kariakoo mtaa wa aggrey. Then mtafute fundi anaitwa mood. Ukifika office yake utakuta bb, android , sumsung kibao. Ni fund mzuri.