CHANGAMOTO ZA MTANDAO WA 4G

sam green

Senior Member
Feb 21, 2020
176
256
Nataka kujua utofauti wa simu spark 8c kwa sababu nipo na rafiki yangu wote tuna miliki simu, aina moja spqck 8c kila mtu laini yake ina support 4g sasa ya kwangu ina kamata 4g ya kwake haikamati yeye alinunua mwaka jana mwanzoni mimi nimenunua, mwaka huu. Na tupo eneo moja yeye inakamataa, 4g mpkaa awee sehem ya mjini kdg ila mm ni popote paleee
 
Spark 8c ni simu au ni fataki zile wanazopiga waarab uwanjani?

Kama ni simu basi itakuwa ni tecno hiyo, jichange utafute simu ya maana angalau Samnsung A Series yoyote.
 
Nataka kujua utofauti wa simu spark 8c kwa sababu nipo na rafiki yangu wote tuna miliki simu, aina moja spqck 8c kila mtu laini yake ina support 4g sasa ya kwangu ina kamata 4g ya kwake haikamati yeye alinunua mwaka jana mwanzoni mimi nimenunua, mwaka huu. Na tupo eneo moja yeye inakamataa, 4g mpkaa awee sehem ya mjini kdg ila mm ni popote paleee
Jaribuni kuangalia Specs kama zinafanana mkuu kutumia Cpu-z. Inaweza zote zikawa 8c ila moja model ya India nyengine ya Tanzania.

Kuna mitandao kama Tigo ina band mbili za 4G 800 na 1800mhZ hio 800 ina coverage kubwa sana na 1800 ipo mjini. Ukiwa na simu isio na band 800 unapata 4g ukiwa mjini tu.
 
Sawa mkuu asant saan
 
Back
Top Bottom