Fundi simuwa wa BlackBerry

Fundi simuwa wa BlackBerry

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
66
Dears,

Jana nimedondosha BB yangu sasa imepata hitilafu kwenye kioo siwezi view chochote sasa mwenye kujua fundi wa simu aina ya Blackberry anisaidie nipo Dar. kuongezea asiwe fundi tapeli mpenda sana hela awe kikazi zaidi...

thanks!
 
Nenda kariakoo mtaa wa aggrey. Then mtafute fundi anaitwa mood. Ukifika office yake utakuta bb, android , sumsung kibao. Ni fund mzuri.
 
Back
Top Bottom