Fundi simu

Fundi simu

GABE100

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
51
Reaction score
2
Nahitaji kuwa fundi simu, redio, kamera na vifaa vingine vya electronic je naweza wapi kupata mwalimu kwa hapa dar. Na je ni vifaa gani vya muhimu napaswa kuwa navyo hasa kwa cmu?
 
Blower,tools,gun,twizer,benzine,flask!afu nunua cm chache za wa2 zilizokuf kwa ajl ya spare!
 
Course ni miezi 3 ada yake ni laki 4 anaetaka anipm chuo ni Veta Registered
 
Back
Top Bottom