Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Wanaume hatukimbii matatizo chief huyu kaonyesha udhaifuukisikia mwanaume ndio huyu sasa ukiwa na roho ndogo huwezi kufanya aliyofanya huyu baharia
Mkuu nilikua nasemea Lile tendo la kufikiria na kuyafanyia kazi mawazo yake daah noma sana.Wanaume hatukimbii matatizo chief huyu kaonyesha udhaifu
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
+MiwayaMapenzi, Madeni, Kesi, mojawapo kati ya matatizo hayo yawezakuwa
Ana miaka mingi katika ufundi hawezi kuchukua uhai wake kwa hyo simu mojaDah rashidi nyuki kwel samsung s20 utra yangu ndo iku fanye ujinyonge .nilikua sha kusamehe kwa kuharibu iyo simu [emoji25]
Nyumbani kwake?Wajaribu kufanya uchunguzi zaidi ,haya mambo ya kujinyonga usikute wamempiga tanchi.
Poleni ndugu ,jamaaa na marafiki.
Nyumbani kwake?
Na mama mzaziAlikuwa anaishi mwenyewe bila mke/familia? Kama na familia walihojiwa hao members wa familia? kama alone possible kapigwa tanchi.
Hiyo ni aina ingine ya covid.Kattika hali ya kustaajabisha wengi Fundi.simu Maarufu mkoani morogoro aliyejulikana kwa jina la Rashidi Nyuki mkazi.wa kihonda veta amejiua kwa kujinyonga.
Hakuacha ujumbe wowote polisi wanaendelea na uchunguziView attachment 1709402