Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

sirleondavid

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2012
Posts
377
Reaction score
25
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
ALSO UNLOCKING PHONES BY IMEI

UNLOCKING ANY GSM PHONES

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

UNLOCKING ANY GSM MODEM

  1. ZTE
  2. HUAWEI
  3. VODAFONE

FLASHING ANY GSM PHONE

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

JAIL BRAKING IOS
ROOTING ANDROID OS

CONTACTS
0715353108
0756144060

E-mail: mwamalekela@gmail.com
 
vip kwa Simu aina ya LG, to unlock
 
vip kwa Simu aina ya LG, to unlock

Mambo vp kaka, thanks for ur interest, hiyo LG ni model gani? pia imetoka nchi gani? for instant response please call 0715353108. Thanks
 
Mambo vp kaka, thanks for ur interest, hiyo LG ni model gani? pia imetoka nchi gani? for instant response please call 0715353108. Thanks

nitakutafuta, ni ya Uncle wangu nimemwambie aitume kutoka mbeya sababu kule hamna fundi alie iwezea. By keshokutwa nitakucheki kwa hiyo no uliyotoa sababu nitakua na simu tayari.
 
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES

UNLOCKING ANY GSM PHONES

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

UNLOCKING ANY GSM MODEM

  1. ZTE
  2. HUAWEI
  3. VODAFONE

FLASHING ANY GSM PHONE

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

JAIL BRAKING IOS
ROOTING ANDROID OS

CONTACTS
0715353108
0756144060

E-mail: mwamalekela@gmail.com

Mkuu, asante kwa taarifa.
Mimi nina Iphone 4 yangu nilipatiwa toka Canada.
Nimezunguka sehemu nyingi Dar wananizingua tu, mara ku-unlock itachukua siku tatu, mara kifaa gani sijui hatuna. Mwingine naye nikapelekwa kwake nikamwachia simu si alikaa nayo wiki mbili karibia tatu eti bado anasubiri kuna foleni ktk system ya ku-unlock toka kwa service providers online.
Alipokuja kumaliza bado simu haifanyi kazi na pesa amenilia. Shit!

Simu nimeamua kuiacha mwanagu anachezea tu.
Inbox me your price ili niangalie kama naweza kumtuma mtu ailete simu hiyo kwako LAKINI nitakulipa ukishaifanya ifanye kazi (hakuna cha kukulipa pesa ya kugundua tatizo wala ya kutanguliza) - I will pay you malipo yote ukiifanya ifanye kazi.
Huyo fundi mjinga amenilia pesa halafu simu bado iko vile vile, kwa sasa nafuatilia anilipe na anahangaika kutafuta pesa ya kunilipa.

Utanisaidiaje?
 
Ni kweli bro, factory unlocking of iphones is real hard, hasa kwa simu ambazo zinatoka nje ya marekani.
Kama kweli upo serious mimi huwa na fanya kwanza kazi then ndo tunalipana.

hebu tuma IMEI ya hiyo iphone ktk namba yangu. 0715353108. kupata IMEI bofya *#06# then send me those 15 digits found.

thanks
 
Nina simu yangu Nokia c2-01 nimeiflash tatizo haipigi tena you tube
je inaweza ikapona au ndio imekufa?
 
Mambo vipi?
nina simu ya huawei ascend y200 inatumia mtandao wa tigo tu,
pia kwa sasa imeandika sim blocked, hata nikiweka line ya tigo.

help please
 
Mambo vipi?
nina simu ya huawei ascend y200 inatumia mtandao wa tigo tu,
pia kwa sasa imeandika sim blocked, hata nikiweka line ya tigo.

help please

Tuma imei kwangu 0715353108
kuipata imei bofya *#06#
utaona 15 digits ndo hizo unitumuie.

baada ya hapo wait for 24hrs your unlock code will be ready.
cost is 20,000/= for remote service,
ukija ofisini ni 15,000/= for 5 minutes.

welcome:becky:
 
IMEI: 862076012054554
Please unlock this phone

here is your unlock code,
weka wroing sim card to your phone
washa simu yako
itaandika SIM UNLOCK
ingiza namba hizi NCK = 1451149230209807
bonyeza OK

post reply hapa or send sms to 0715353108
 
mara nyingi ku unlock iphone 4,inachukua muda gani na kiasi cha pesa huwa ni pesa ngapi?
 
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES

UNLOCKING ANY GSM PHONES

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

UNLOCKING ANY GSM MODEM

  1. ZTE
  2. HUAWEI
  3. VODAFONE

FLASHING ANY GSM PHONE

  1. IPHONES
  2. NOKIA
  3. SAMSUNG
  4. ALCATEL
  5. BLACKBERRY

JAIL BRAKING IOS
ROOTING ANDROID OS

CONTACTS
0715353108
0756144060

E-mail: mwamalekela@gmail.com

you sounds good!!!!
Nice move Mkuu
 
mara nyingi ku unlock iphone 4,inachukua muda gani na kiasi cha pesa huwa ni pesa ngapi?

Iphones unlocking inategemea sana simu imetoka nchi gani na ilikua inatumia network gani huko ilikotoka.
kwa mfano;-
AT&T USA ni masaa 24 bei ni 150,000/=
SOFT BANK JAPAN ni siku 10 bei ni 350,000/=
TELENOR SWEDEN ni wiki 2 bei ni 400,000/=

So ogopa sana kununua iphone ambayo ipo locked.
kama upo nayo hapo nitumie IMEI yake ktk 0715353108
ni kuangalizie.

kupata IMEI press *#06#
 
here is your unlock code,
weka wroing sim card to your phone
washa simu yako
itaandika SIM UNLOCK
ingiza namba hizi NCK = 1451149230209807
bonyeza OK

post reply hapa or send sms to 0715353108

Nashukuru sana Fundi
simu yangu kwa sasa inatumia laini
ya mtandao wowote
Ubarikiwe.
 
Habari fundi nina simu yangu nimwaka na nusu sasa ipo tu ndani, ni ya ku unlock model ni spv c550 (windiws mobile). Nimesha hangaika kwa mafundi wengi wanasema hawana software ya ku unlock.
 
Back
Top Bottom