UtumwaMalipo 3000-5000 kwa siku
Hapana malipo ni kutokana na kazi unayopewa kwa mfano kabati la mdfunalipwa efu 30 mpaka 35 kutokana na aina ya kabati so kama unaweza kumaliza kabati 3 hapo ni ww na bidii yako so tunatafuta fundi hasa wa mbao ngumu kama mtikiMalipo 3000-5000 kwa siku
Kabati la milango miwili na mitatu la mbao ngumu unalipa bei gani? Pia, finishing napiga mwenyewe na rangi napiga mwenyewe?Hapana malipo ni kutokana na kazi unayopewa kwa mfano kabati la mdfunalipwa efu 30 mpaka 35 kutokana na aina ya kabati so kama unaweza kumaliza kabati 3 hapo ni ww na bidii yako so tunatafuta fundi hasa wa mbao ngumu kama mtiki
Labda amemaanisha kabati la jiko milango miwili. Ila kama ni kabati pa nguo au vyombo itakua haijakaa poa.Yani mtu aje Tanga aache familia yake na kila kitu then elfu 30 kwa kabati!
umeona ee, maana kwa kazi za ufundi kabati la milango 3. Nguo au vyombo ni sh 350 mpaka 500 kulingana na material na dizaini.Yani mtu aje Tanga aache familia yake na kila kitu then elfu 30 kwa kabati!
Nimetolea mfano na hilo ni kabati kwa kutumia mdf ila la mbao bei inaongezeka na ndio maana nimeweka namba kwa ajili ga maelewanoYani mtu aje Tanga aache familia yake na kila kitu then elfu 30 kwa kabati!
😂😂😂 Si unapewa na mke kbsYani mtu aje Tanga aache familia yake na kila kitu then elfu 30 kwa kabati!
🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Si unapewa na mke kbs
Nicheki kwenye namba zangu tubonge freshfundi mtaalamu na mbunifu nipo hapa. Njoo uone kazi zangu inbox