Fundi mzuri wa milango ya nyumba anapatikana wapi hapa Dar?i | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fundi mzuri wa milango ya nyumba anapatikana wapi hapa Dar?i

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by HISIA KALI, Mar 17, 2011.

 1. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani fundi mzuri wa milango ya nyumba anatafutwa kwa kazi ya haraka hapa DSM. Naomba ushauri wenu, anaweza kupatikana wapi? Pia kuna mtu mwenye picha za kazi zake na kama zipo tunaziomba.
   
Loading...