Fundi mzuri wa kushona suits iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fundi mzuri wa kushona suits iringa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MKOBA2011, Aug 17, 2012.

 1. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanaohitaji kushona suits za aina mbalimbali kike na kiume kwa ajili ya arusi na shughuli zingine, mkoani iringa kuna fundi wa ukweli anaitwa komba yupo karibu na kalenga hotel.anapatikana kwa number hizi 0753-231135 au 0778-328500.utaamini navyokwambia ukishona kwake nipo dar but ninapotaka kushona huwa natuma vipimo na design ya suit na pesa na anatoa vitu vya ukweli.nimeshona sehemu nyingi hapa dar lakini kwake hawajamfikia.kazi njema
   
Loading...