SHILINDE
Member
- Jul 23, 2010
- 14
- 6
Mara nyingi zikitangazwa kazi waajiri wanapenda sana kupata watu wenye uzoefu, ndo maana matangazo mengi yanaelekeza mwombaji awe na uzowefu wa muda fulani.
Hivo hivo mjenzi yoyote pia lazima atafute fundi mwenye uzowefu maana mzoefu lazima atakuwa amewiva katika fani na anazijua mbinu na utalaamu ambao utamfanya mwenye nyumba apate jengo bora.
Fundi Muashi wetu bila shaka mnafahamu uzowefu wake katika ujenzi. alishakuwa kibarua kwa miaka 20 katika jengo hilihili, na mafundi wawili wamepita wakimuachia ujuzi maarifa kedekede lakini pia ameona pale walipokesea na sasa kwa kuwa amepata kandarasi yeye mwenyewe bila shaka tunaona anayoosha ukuta.
Kwanini uwe na shaka na fundi mzoefu, ambae amekuwa kibarua katika jengo hilo, anazijua kona mianya na nyufa zote. Mkumbuke pia ujenzi ni gharama hasa ukitaka nyumba imara na ukimpa kazi fundi mzoefu na anaeifahamu nyumba yako toka msingi.
'WACHA FUNDI MUASHI AENDELEE KUNYOOSHA UKUTA'