Fundi Makuti anatafutwa dsm

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,663
59,000
Kama wewe ni fundi wa kuezeka paa la makuti, na upo dsm.
Au kama unawafahamu wataalamu wa nyumba za makuti.
Nakuhitaji .. Tupeane contact..
Kuna kazi ipo mikocheni hapo kuezeka paa la nyumba ya makuti.
Nitafute Pm.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom