fundi makenikai

fundi makenikai

Kibani

Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
27
Reaction score
4
daladala moja ilikuwa imejaa abiria.dada mmoja akawa amesimama.kaka mmoja akamuonea huruma akamwambia ampakate, binti akakubari na mazungumzo yao yakawa hivi:
JAMAA.dada mbona mikono yako ni laini sana wewe ni sekretari?
DADA. haujakosea mimi ni secretary na je wewe ni fundi makenika?
JAMAA.kwa nini umeniuliza hivyo?
DADA. nahisi wewe ni makenika kwa sababu nasikia kitu kama jeki kinaniinua hapa nilipokaa.teh teh
 
Mipakato ya kulazimisha noma ilihali we msela tu huna jiko!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Wakati wa kunyenyuka sasa !?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom