steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,587
- 12,168
Wakuu,nina kavitz changu Old model kilipata ajali mwaka jana na kimekaa juu ya mawe miezi kama 7 hvi bila kuguswa baada ya kuumizwa na hiki kitoroli.
Naomba kama kuna fundi magari wa ukweli atakayeweza kuitengeneza gari hii na awe mkweli kama gari itapona au niiuze kama sckrepa kama haiwezekani,anishauri ili nisiingie gharama zaidi
Kwa ufupi kama nitapata half cut ya mbele iliyo complete kwa ajili ya kuifix tu ndio itakuwa bomba sana
Ningeomba kupatiwa gharama za makadirio ya kazi hiyo ili nijiandae
Nipo Morogoro ila hata kama Dar nitalileta hili gari.
Picha za gari lenyewe nitaziambatanisha ingawaje sioni option ya kuziweka kama kwenye version ya zamani ya JF
ahsanteni sana