Natafuta fundi mzuri wa laptop, ina shida kwenye charging, haiwaki kabisa.
Nimeenda kwa mafundi wamechemsha na yawezekana wameharibu hata vingine.
Nimeipata mwaka jana haijachoka.
Tafadhali kama wewe ni fundi mzuri nipe address yako, natafuta mwaminifu na bei iwe ni ya kawaida nitakayoweza kuimudu.
Asante

Ningekusaidia kwa Ghrama nafuu tatizo nimebanwa mno!!!
Nenda pale Round about uhuru/msimbazi Tafuta Voda shop ukiiona ulita watu maeneo hayo Fundi Paschal watakuelekeza ofisi yake ipo juu eneo hilo hilo atamaliza tatizo lako
Huyu Paschal nilienda akachemsha, alafu jeuri sana, customer care yake ni zero. Nahisi hata kuna vitu alibadilisha ndani.
Mwambie abadilike, siwezi recommend mtu kwake.
mh....!!!!!
Mbona umeguna ??
Unajua kuna vitu vinashangaza sana kaka huyo jamaa Pascal niliyemtaja niliwahi kupiga naye mzigo miaka 3 iliyopita na alikuwa yupo fit kabisa kudili na haya madude yetu, leo naambiwa kachemsha mbaya zaidi ana kiburi, huduma mbovu etc.
Nadhani atakuwa keshavimba bichwa au anaendekeza mambo ya nataka kulewa so anatuharibia fani
Umesikia upande mmoja tu, Ungepata nafasi ukamuuliza anaweza sema nn kilitokea. Unaweza kukuta walikosana jambo dogo tu. Usihukumu Kaka
[MENTION=80751]shaffin Simbamwene
Umesikia upande mmoja tu, Ungepata nafasi ukamuuliza anaweza sema nn kilitokea. Unaweza kukuta walikosana jambo dogo tu. Usihukumu Kaka
shaffin Simbamwene
Huyu Paschal nilienda akachemsha, alafu jeuri sana, customer care yake ni zero. Nahisi hata kuna vitu alibadilisha ndani.
Mwambie abadilike, siwezi recommend mtu kwake.
Ni kweli mkuu,jamaa jeuri sana kwa sababu ya kuwa na uhakika wakupata wateja.. Na pia anasifa ya kunyofoa vifaa kwa baadhi wateja wake. Jamaa zangu kama wawili wamekutana sakata la kunyofolewa vifaa kwenye mashine zao hadi kufikishana polisi.