Fundi Juma.... Hii ni Chiboko aisee....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fundi Juma.... Hii ni Chiboko aisee....!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtambuzi, Sep 3, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [h=3]See what this African Doctor Can Do....![/h][​IMG]
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  wengine wanajikongoja tu..................
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hilo bango tuu unapata picha Dr Juma ni mtu wa dizain gani.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ana uwezo wa customer attraction halafu anaandika bango na kuliweka hadharani!
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa tangazo hili, sidhani kama kuna ule udaktari ninaoufahamu mimi, nahisi hapa utakutana na uganga, uganguzi, utapeli na ushirikina! Doctor gani wa kawaida anaweza kutibu hiyo aliyoiita lost lover? au Bewitched people?
   
 6. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kicheko! Yaani Fundi Juma ni kila kitu,Psychiatrist,Psychologist,MD,Obs&Gyn, yaani kila kitu. sijui ilimchukua miaka mingapi kuwa na Super Specializations katika nyanja zote hizo!
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa mzee Mtambuzi huyu Dr Juma anapatikana wapi aisee kuna ugonjwa nimeona anaweza kunisaidia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Anapatikana Tandale kwa Mtogole mkuu.............
   
 9. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huyo mganga wa kitapeli hana tofauti na Jakaya Kikwete aliyeahidi kila kitu asitoe kitu zaidi ya ufisadi na mauaji ya kila mara yakifanywa na polisi wake.Hawana tofauti na wachungaji mashehe na viongozi wa CCM. Tanzania imegeuka nchi ya matapeli na waganga njaa kuanzia ikulu hadi kwa ombaomba Matonya. Na hili limesababisha nchi yetu kufurika kila aina ya matapeli toka India, Pakistan Bangladesh, Kenya DRC na kwingineko. We are doomed shall we not change this situation we are in.
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Debt Collector and Lawyer at the same time.
   
 11. b

  babacollins JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakuna kusaidiwa hapo mkuu wee andaa kilainishi uchumi mzee aka money.
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa babacollins sawa nimekusoma ngoja niwasiliane na mtoto wa mzee Mtambuzi bibie King'asti twende tukang'arishe nyota zetu labda ndoa yetu tutaenda kufungia mwezini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ok sawa Mtambuzi kama angekuwa anapatikana Monduli ningeenda kesho ila huko siji coz sijazoea joto na foleni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wewe una matatizo sana. Usije ukanivunjia ndoa babu weeh!
  Kaombe dawa ya 'rumour misunderstanding with people'
   
 15. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona huyo amebakiza "Kujiunga na Freemason"
   
 16. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtambuzi, huyu bila shaka ni yule uliyesema amekuletea heshima nyumbani. Mtaimbo unatweta eee, hongera sana, mpe promo kwa kulipa fadhila.
   
 17. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huyu ni dk Juma wa Kyaka.
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hiyo ya casino specailist mi hoi!sa sijui anao wangapi humo ndani!hebu imagine casino specialist anakuwaje?
   
 19. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Hahahaha,
  Huyu jamaa noma. I wonder ana tofautisheje insanity na madness halafu ndio avitibu! Misfortunes na bad luck!!
  Hehehe ngoja kesho niwawekee list ya vitu alivyotaka mganga mmoja ili kunitengenenezea HIRIZI YA SIMBA.
  Ila jamaa wan saikolojia kubwa sana sababu nilikua najifanya very interested and ernest lakini aliniambia najua utapuuzia na hautafanya navyokwambia.
  Aisee, I almost wanted to prove him wrong!! Hahahaha.
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  dr juma si mchezo......amejitangaza kwa kiinglish....usifanye masihara...
   
Loading...