Kitanda kama hicho cha 5×6 bei gani
Vitanda vimetofautiana bei kulingana na wingi na aina ya maua,ila kama hicho kinachoonekana hapo ni cha 5feets kwa 6feets bei yake inakuwa Laki tatu na nusu ila discount inakuwepo hata kama utahitahi kitanda kimoja. Karibu.
Samahani sana wanajamii,wakati naweka number ya simu kuna typing error niliifanya nikasahau kuweka vizuri number za simu.
Kwa hiyo basi number ya mawasiliano ni 0763 995 818 Ahsante mkuu kwa kunilekebisha
Mkuu bei ya grill zimetofautiana kulingana na ukubwa wa hiyo grill unayohitaji pamoja na material yanayotumika kutengenezea hiyo grill. Uwezekano wa kutengeza grill la kuhama nalo upo na inawezekana. Kiongozi, you welcome.Nahitaji kuweka grili gheto kwangu, bei gani grili na kuweka bei gani? na je nikihama naweza kuhama nalo? mwenye nyumba amegoma kuchangia