"fundi bomba" anahitajika...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
sentesi hii yaweza kua na maana zaidi moja...
zitaje.
 
Mie fundi mzuri !
Sijawahi kuchezewa au kushindwa na Bomba lolote , tangu nimalize Chuo (VETA) miaka ile.
Nipe uwajibikaji
 
Ndo-manaake ! Si ndiyo zile style za kama mtu akisema "nambie Jembe langu"
"Yule jamaa ana mkono wa birika" n.k n.k

Judge unajua jina jembe silipendagi...maana jembe latiwa mpini katikati...
 
unahitaji fundi bomba aje kuziba bomba linalovuja maji, au
Unahitaji fundi bomba aje kuzibua bomba lililoziba, au
Unahitaji fundi bomba aje ku install new pipe !
 
unahitaji fundi bomba aje kuziba bomba linalovuja maji, au
Unahitaji fundi bomba aje kuzibua bomba lililoziba, au
Unahitaji fundi bomba aje ku install new pipe !

inatakiwa maana ya sentensi mkuu...
 
unahitaji fundi bomba aje kuziba bomba linalovuja maji, au
Unahitaji fundi bomba aje kuzibua bomba lililoziba, au
Unahitaji fundi bomba aje ku install new pipe !

mmmh......hapa naona kunataka kutokea maana zaidi ya moja.....mweee........
 
Back
Top Bottom