Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Alipe gharama zote na za usumbufuAnatafutwa afungwe?
Alikabidhiwa kazi alivyomaliza akatuma habari na ufunguo kuwa amesha kamilisha akarushiwa mpesa ya malipo. baada ya miezi 2 kwenda kuhamia dah, ujue mikoani huwezi kwenda kila siku au kila wiki kukaguawajati anajenga haukukagua, wajati anakabidhi kazi hukustuka?
Jamaa kajisetiagodoro in case akiondoka atue hapoAu ndio huyu?View attachment 1201049
Huyo akidondoka hatunae tenaJa
Jamaa kajisetiagodoro in case akiondoka atue hapo
Hahaha hilo ghorofa. .my ribs#REPOST Lewis Bonde
ANATAFUTWA.
Jina: Fundi Maiko.
Kazi: Fundi Ujenzi.
Kabila: Haijulikani.
Makazi: Morogoro.
Kosa: Ujenzi wa nyumba ya kuishi usiozingatia weledi.
View attachment 1187482
UPDATES:
Ameonekana katika viunga akifanya kazi atakaye bahatika atujulishe huyu hapa
Au ndio huyu?View attachment 1201049
Pale juu sijui kafika vipi?Ja
Jamaa kajisetiagodoro in case akiondoka atue hapo
Unaamka usiku unataka kwenda maliwatoni unakuta vibaka wameondoka na ngazi#REPOST Lewis Bonde
ANATAFUTWA.
Jina: Fundi Maiko.
Kazi: Fundi Ujenzi.
Kabila: Haijulikani.
Makazi: Morogoro.
Kosa: Ujenzi wa nyumba ya kuishi usiozingatia weledi.
View attachment 1187482
UPDATES:
Ameonekana katika viunga akifanya kazi atakaye bahatika atujulishe huyu hapa
Madilisha yanakaz gan?Unaamka usiku unataka kwenda maliwatoni unakuta vibaka wameondoka na ngazi