ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Mwenye duka alipoteza elfu ishirini weka tiki mapema.
Lugha ni tatizo mkuu, yaani ukienda na 100,000 dukani ukaambiwa vitu vinauzwa 90,000 unatoa laki yote ili urudiahiwe change?Tunaposema mtu kanunua vitu vya 90,000 maana yake ni kwamba alitoa 90,000 na akabaki na 10,000, na huyo mwenye duka akampa tena chenji ya shs.10,000, kwahiyo 10k aliyobaki nayo + bidhaa za 90k + chenji ya 10k unapata 110k; unless otherwise lugha ndio tatizo.
Mwenye duka alipoteza Tsh. 100,000/-
Ndio hapo sasa, si uchizi huo?Lugha ni tatizo mkuu, yaani ukienda na 100,000 dukani ukaambiwa vitu vinauzwa 90,000 unatoa laki yote ili urudiahiwe change?
20k + bidhaa za 90k = 110kMwenye duka alipoteza elfu ishirini weka tiki mapema.
Hapo ndio kwenye mtego20k + bidhaa za 90k = 110k
Swali la kipuuuzi, kwani hiyo laki moja ilikua noti moja! Maana hiyo chenji ya 10k siielewiMwizi alimuibia mwenye duka shilingi laki moja baadae akarudi na hiyo pesa amanunua vitu vya elfu tisini na mwenye duka bila kujua akamrudishia chanji yake ya elfu kumi
Je mwenye duka alipoteza kiasi gani cha pesa?
HATA INZI AKIACHA UJINGA ANAWEZA KUTENGENEZA ASALI KAMA NYUKI
mzigo wa shs.90,000/= ni sawasawa na 90,000/=, unless otherwise lugha ni tatizoHapo ndio kwenye mtego
Ameuliza kiasi cha pesa kilichopotea sio bidhaa.
Kwa hiyo mwizi amerudisha elfu tisini,kwa njia ya manunuzi
kabakiwa na elfu kumi kaongezewa na elfu kumi ya chenji
jumla jamaa kapoteza 20000.
Ni uchizi kabisa huoDah....unanunua bidhaa za shilingi 90k halafu unatoa shilingi laki moja? Ajabu sana![]()
Kwani unadhani kwa nin alirudishiwa elfu kumiWapi ameandika mwizi katoa 100,000/=?! Yaan mimi niende kununua vitu vya 90,000/= halafu nimpe 100,000/= mwenye duka, ili iweje? Acha ku-assume visivyoandikwa.
Muuzaji ndo chiz aliyepewa elfu 90 akarudisha elfu 10 kwa logic ya uchizHivi siku hizi kuna noti ya shilingi laki moja??.. Mtu hawezi kwenda dukani kununua vitu vya elfu tisini halafu atoe laki moja ili arudishiwe elfu kumi.. Nakubaliana na jamaa alisema labda huyo mtu awe chizii.. Na Kama ni chizi basi swali libadilike iwe chizi aliiba......
Hapo ndio kwenye mtego
Ameuliza kiasi cha pesa kilichopotea sio bidhaa.
Kwa hiyo mwizi amerudisha elfu tisini,kwa njia ya manunuzi
kabakiwa na elfu kumi kaongezewa na elfu kumi ya chenji
jumla jamaa kapoteza 20000.
Swali linasema "mwenye duka alirudisha chenji bila kujua" , hivyo ilirudishwa kimakosa kulingana na swaliKwani unadhani kwa nin alirudishiwa elfu kumi
NB. Ile laki moja na bidhaa za elfu 90 zote ni mali ya muuzaji