Kaiba sh 100,000/=
Akanunua bidhaa zenye dhamani ya
sh 90,000/= na kurudishiwa sh 10,000/= kwenye duka hilo hilo. Ikumbukwe kuwa (Bidhaa+ 100,000) ni mali ya mwenye duka.Bidhaa thaman yake ni sh 90,000 na hiyo laki moja aliyoitoa mwiz pia ni mali ya mwenye duka, kwahyo kamrudishia laki moja yake kwa kununua bidhaa kwa hela ambayo ni mali ya muuzaji,hivyo basi ile 10,000 anayorudishiwa mwizi kama kiasi kinachobaki baada ya kutoa laki moja ambayo kaiba dukan hapo hapo ukijumlisha na 90,000 bei ya bidhaa jumla yake kuu ni 100,000. Kwahiyo mwenye duka kapoteza 100,000/=
(90,000+10,000).