USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,718
- 27,812
Mwizi alimuibia mwenye duka shilingi laki moja baadae akarudi na hiyo pesa amanunua vitu vya elfu tisini na mwenye duka bila kujua akamrudishia chanji yake ya elfu kumi
Je mwenye duka alipoteza kiasi gani cha pesa?
HATA INZI AKIACHA UJINGA ANAWEZA KUTENGENEZA ASALI KAMA NYUKI
Je mwenye duka alipoteza kiasi gani cha pesa?
HATA INZI AKIACHA UJINGA ANAWEZA KUTENGENEZA ASALI KAMA NYUKI