Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Aug 12, 2019 #21 mtu mzima atazikwa na Myakubanga
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,983 Aug 12, 2019 Thread starter #22 Avriel said: Ongezeni mafumbo. Click to expand... Kati ya ugali wa moto na wachaga, nani anatoka moshi?
Avriel said: Ongezeni mafumbo. Click to expand... Kati ya ugali wa moto na wachaga, nani anatoka moshi?
dadysam Member Joined Nov 15, 2016 Posts 51 Reaction score 51 Aug 12, 2019 #23 Myakubanga said: Nitajie neno la kiswahili lenye herufi tano,ambalo kila ukitoa herufi toka kulia unapata neno lingine la kiswahili lenye maana. ONDOA NDOA DOA OA A Kitambo nilichemshwa sana na hili neno Click to expand...
Myakubanga said: Nitajie neno la kiswahili lenye herufi tano,ambalo kila ukitoa herufi toka kulia unapata neno lingine la kiswahili lenye maana. ONDOA NDOA DOA OA A Kitambo nilichemshwa sana na hili neno Click to expand...
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,978 Reaction score 5,417 Aug 13, 2019 #24 Myakubanga said: Kati ya ugali wa moto na wachaga, nani anatoka moshi? Click to expand... Kuni zinatoka moshi
Myakubanga said: Kati ya ugali wa moto na wachaga, nani anatoka moshi? Click to expand... Kuni zinatoka moshi
Nibiru X JF-Expert Member Joined Jun 30, 2019 Posts 426 Reaction score 437 Sep 2, 2019 #25 Me370 said: Ni sehemu gani ya mwili wa mwanaume ambayo ni laini, imezungukwa na nywele, inakiungo kinachoweza kuelekezwa upande wowote ule na ikikerwa au kuchezewa hutoa majimaji yanayotiririka? Click to expand... Jicho
Me370 said: Ni sehemu gani ya mwili wa mwanaume ambayo ni laini, imezungukwa na nywele, inakiungo kinachoweza kuelekezwa upande wowote ule na ikikerwa au kuchezewa hutoa majimaji yanayotiririka? Click to expand... Jicho
Nibiru X JF-Expert Member Joined Jun 30, 2019 Posts 426 Reaction score 437 Sep 2, 2019 #26 Mbele ya kuku kuna kuku na nyuma ya kuku kuna kuku wapo kuku wangapi
Nibiru X JF-Expert Member Joined Jun 30, 2019 Posts 426 Reaction score 437 Sep 2, 2019 #27 Mama Yang mimi anawatoto wa 3 wakwnz ni juma na pili uledi je watatu
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Joined Mar 13, 2019 Posts 1,708 Reaction score 4,493 Sep 2, 2019 #28 Mambo ya ajabu haya!
12 Marook JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 441 Reaction score 331 Sep 16, 2019 #29 Wapo kuku wawili mkuu Nibiru X said: Mbele ya kuku kuna kuku na nyuma ya kuku kuna kuku wapo kuku wangapi Click to expand...
Wapo kuku wawili mkuu Nibiru X said: Mbele ya kuku kuna kuku na nyuma ya kuku kuna kuku wapo kuku wangapi Click to expand...
Tieli JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 651 Reaction score 1,516 Sep 17, 2019 #30 Nibiru X said: Mama Yang mimi anawatoto wa 3 wakwnz ni juma na pili uledi je watatu Click to expand... Anaitwa tatu
Nibiru X said: Mama Yang mimi anawatoto wa 3 wakwnz ni juma na pili uledi je watatu Click to expand... Anaitwa tatu