Dah hizi ndoa za siku hizi majanga matupu yaani namuonea huruma kweli mshkaji mkewe anamsaliti bila ya mwenyewe kujua.,i guess atakuwa ameumia sana. Ila cha msingi akae nae amuulize sababu ya kumsaliti ili jamaa ajirekebishe maana najua kila kitu kinatokea kwa sababu ikiwa tu ni ameteleza basi anaweza kumsamehe lakini asirudie tena akirudia no excuses apige chini.
Jamaa naona anajishauri sana kumuacha maana shemeji yangu mashaallah, mpaka mimi huwa naogopa kumpa lifti, nguo anazovaa halafu akae pale mbele, napata wakati mgumu sana kutokana na umbo lake hasa akikaa nguo inapanda juu, najikuta naangalia gear lever na kuchomoa shati langi kulivuta mbele kuficha aibu.

hii terminology imenikumbusha mbali zana!sijui na wewe ni wa huko huko...
:shocked::shocked::shocked::shocked: BASI WW JINIWewe umejuaje wakati ni mwanamke?
Hatahivyo hakuna papuchi ya kunifanya nikamshike mtu shati hata kidogo!!!!!!!!!!!
haaah haaaah! You made my day! Utaijuaje bila kuonja?
:shocked::shocked::shocked::shocked: BASI WW JINI
Dada zangu na shemeji zangu shansarie Karucee Valentina Chocs Munkari ICHANA MankaM Sista Bantu lady Honey Faith charty ram Heaven on Earth Dinazarde Passion Lady farkhina na wengine wote ambao sijawataja naombeni tumshauri ndugu. Yangu, pia na washikaji wote kiwatengu Daudi1 uran Excel MTAFITI Kibo10 Money Stunna na wengine wote tumpe ushauri ndugu yetu yamemkuta.
Ameshamsamehe ILA ukionja nyama ya mtu huwezi kuacha moja kwa moja.
OK.Jamaa amvumilie hivyo hivyo.jamaa anaonekana bado anampenda sana mke wake.
​mmmhhhh!!Hujawahi kumsikia mtu anasema, huyu ataniua tu lakini huyu bwana simuachi.