kumsamehe mtu haina maana kwamba lazima mrudiane cha kumshauri amsamehe na amuache moja kwa moja ili apate funzo uko aendako
Mkuu jamaa anadai anatetea ndoa yake.
miss neddy una mume? Je anakufikisha?
... kumhoji jamaa alionekana hana makosa maana aliambiwa hajaolewa, mke alikiri kumwambia hivyo, ala anaomba msamaha, unamshauri vipi ndugu yangu?
Jamaa mbona anadai anajituma sana muda mrefu tu kwa lengo pia la kupata Mtoto wa 2 lakini hakuna kitu! Siyo tamaa kweli??!.
Nitamfikishia! ila Honey Faith mbona sikuelewi?!.
What u'r doing to me isn't fair! Niambie basi unataka nifanye nini ndiyo uamini Kuwa namaanisha?!.
Unanicheka?!!. Sawa tu. Twende PM basi?!.
...ndo matatizo ya serikali mbili haya,afadhali tatu kila mmoja kivyake. Ningekuwa mimi ningemwambia achague serikali tatu maana mama kashavunja muungano kwa kumkana mumewe kama zanzibar...
Nakusubiri.